HIKI HAPA KIINGILIO SIMBA VS YANGA OCTB 28 - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

October 23, 2017

HIKI HAPA KIINGILIO SIMBA VS YANGA OCTB 28

Kama unataka kuwaona watani wa jadi, Yanga na Simba wakivaana Oktoba 28 kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam,
unalazimika kuwa na Sh 10,000 au mara mbili ya hiyo, yaani Sh 20,000.
Kiingilio cha mzunguko ni Sh 10,000 wakati jukwaa kuu lenye pande mbili za Yanga na Simba litakuwa Sh 20,000.
Inaonekana hakutakuwa na viingilio vya chini kama Sh 5,000 kwa kuwa uwanja ni mdogo.

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();