HII HAPA LIST YA WASANII WENYE NYOMI LA FOLLOWERS AFRICA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

October 04, 2017

HII HAPA LIST YA WASANII WENYE NYOMI LA FOLLOWERS AFRICA

Msanii kutokea nchini Nigeria David Adedeji Adeleke maarufu kama Davido aliyetamba na ngoma yake ya
“Fall” iliyofanya vizuri Afrika na Duniani kwa ujumla,
Davido ndio msanii mwenye mashabiki wengi kwenye mtandao wa instagram (Milioni 5) katika Bara la Afrika.

Davido
Nafasi ya pili inafuatiwa na msanii kutokea Nigeria pia
Wizkid Ayo maarufu kama star boy mwenye mashabiki million 4.1 kwenye kurasa yake ya instagram, Wizkid ni mmoja wa wanamuziki waliofanikiwa kimuziki kwa kuitangaza vyema Afrika kwa kufanya kazi na wasanii wengi nje ya Afrika akiwemo Drake kutokea Marekani,
Justine Skye na wengine wengi.


Wizkid
Bila kumsahau msanii kutokea Tanzania Diamond Platnumz ambaye anashika nafasi ya tatu kama msanii mwenye mashabiki millioni 4 kwenye kurasa yake ya instagram katika Bara la Afrika,



 huku Don Jazzy wa
Nigeria akiwa nafasi ya 4 kutokea Nigeria kwa kuwa na masabiki million 3.4 


na Peter wa PSquare kutokea
Nigeria mwenye mashabiki million 3.


'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();