Maneno ya Ommy Dimpoz baada ya video mpya ya WCB iliyotoka baada ya Alikiba - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

August 26, 2017

Maneno ya Ommy Dimpoz baada ya video mpya ya WCB iliyotoka baada ya Alikiba




Muda mfupi baada ya WCB kuachia hiyo ngoma mpya, Mwimbaji Ommy Dimpoz ambae yuko kwenye lebo ambako Alikiba ni mmoja wa Wakurugenzi, amechukua time yake kupost upande maneno ambayo wengi wanahisi ni dongo kwa WCB.
Ommy ameandika mashairi ya wimbo wa zamani ambao wengi waliuimba utotoni >>> “Watoto Wangu eeeh!! eeehh!! Mimi Baba Yenu eeeeh!! Sina Nguvu tenaaa Eeeeh za kuua Tembooo
Watoto: Sawa Baba tunakuja kukusaidia Sema itabidi tutumie zilezile mbinu zetu za UJANJA UJANJA si Unajua sikuhizi hayuko peke yake kuna mwingine kajificha”
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();